Sauti Ya Tumaini Radio
94.1 FM

Sauti ya Tumaini Radio 94.1 ilizinduliwa 2017 katika mji wa Tabora, Tanzania. Program zetu pamoja na muziki wetu ni katika lugha ya Kiswahili. Pia tuna program mbali mbali ambazo tunarusha "LIVE" kila siku. Sauti ya Tumaini Radio ni redio bora na tunatamani usikie na kujengwa. Bonyeza kitufe hapo juu kusikiliaza redio yetu!

WASILIANA NASI

quotes

“Napenda sana Sauti ya Tumaini Radio. Naweza kusikiliza kwenye simu yangu wakati naenda kazini”

Jacktan Msafiri

Tabora

SIKILIZA LIVE!

Una maswali?

Kutupata ni rahisi! Tumia fomu hapo chini ili kuwasiliana nasi na kutupa maoni yako.

Utupigie simu au kutuma SMS kwenye namba zetu za studio

Wasiliana nasi

[email protected]

Anuani yetu ni:


Radio Uhai 94.1 FM Tabora Sauti ya Tumaini